37 Percent Quotes

Quotes tagged as "37-percent" Showing 1-2 of 2
Enock Maregesi
“Umri sahihi wa kuoa au kuolewa kulingana na kanuni ya ndoa iitwayo ‘optimal stopping’ ni miaka 26. Kanuni hii ya hesabu hujulikana kama kanuni ya asilimia 37, welekeo wa 0.37 wa kumpata mwenza bora zaidi katika maisha yako kuliko wengine wote.”
Enock Maregesi

Enock Maregesi
“Masharti ya kanuni ya ndoa ya kuachana na ukapera yanakutaka uwe umeshatembea na kukataa asilimia 37 ya wapenzi wako katika kipindi chote cha maisha yako, ili kumpata mpenzi mmoja bora zaidi ambaye ndiye hasa utakayeoa au kuolewa naye.”
Enock Maregesi