Imani Ya Kweli Quotes
Quotes tagged as "imani-ya-kweli"
Showing 1-3 of 3
“Falaki maana yake ni kundi la nyota na sayari ikiwemo dunia. Falaki yetu inaitwa Njiamaziwa, ‘the Milky Way galaxy’, yenye mabilioni ya mifumo ya jua ukiwemo wa kwetu. Mungu alisimamisha jua katika falaki ya Njiamaziwa kwa ajili ya Yoshua, ili apate muda wa kutosha kuwashinda maadui zake – wanajeshi wa mataifa matano. Kila mtu alishangaa sana kipindi hicho. Kila mtu anashangaa sana kipindi hiki. Mungu akikubariki watu watasema wewe ni mchawi. Hawatajua nini kilitokea. Kwani kwa Mungu hakuna kinachoshindikana. Mungu aliweza kutenda miujiza kwa ajili ya Yoshua, na kwa ajili ya wana wa Israeli huko Gibeoni na huko Aiyaloni, anaweza kutenda miujiza kwa ajili yako popote pale ulipo. Mungu anachotaka kutoka kwako ni imani ya kweli juu yake, kwa mwili na kwa roho yako yote.”
―
―
“Hakuna uponyaji pasipo imani ya kweli. Giza linapoingia katika maisha yako ongea na Mungu. Halafu ongea na tatizo linalokusumbua. Kama tatizo linalokusumbua ni saratani, iambie saratani iondoke na kamwe isirudi katika mwili wako tena. Baada ya hapo, nenda kwa mchungaji. Jiweke wakfu, kwanza, kabla ya kuombewa.”
―
―
“UKIFANYIWA UBAYA JARIBU KUEPUKA KURUDISHIA UBAYA NA KUENDELEA NA MAISHA YAKO.
HII NI NGUMU KWA WATU WA KAWAIDA KWA SABABU HAWAISIKII SAUTI YA MUNGU NA NI WAOGA KUISHI PEKE YAO.
LAKINI UKIPENDA NA KUSIKILIZA SAUTI YA IMANI YAKO NI LAZIMA UTAISHI KWA FURAHA NA KUFANIKIWA KATIKA MAISHA YAKO.
CHA MSINGI NI KUJUWA MUNGU AMEKUCHAGUWA NA NGUVU ULIYONAYO INAOGOPESHA WENGI ILA UKIWA NAO INAWAPA AMANI NA MWONGOZO WA FURAHA KWENYE MAISHA NA KUWAPONYA N.K
UWEPO WAKO SEHEMU UFANYA HTA WANYAMA WATOTO KUDHANIA YA KWAMBA WANAKUJUWA INGAWA HAWAKUJUWI .
ZINGATI KUFANYA KAZI UNAYOIPENDA KWANI NDIYO SABABU YA WEWE KUISHI KWENYE MAISHA YA AMANI ALIYO KUPA MWENYEZI MUNGU .
YA
©️Kennedy S Mmbando 2025
...yiya”

All Quotes
|
My Quotes
|
Add A Quote
Browse By Tag
- Love Quotes 102k
- Life Quotes 80.5k
- Inspirational Quotes 77k
- Humor Quotes 44.5k
- Philosophy Quotes 31.5k
- Inspirational Quotes Quotes 29k
- God Quotes 27k
- Truth Quotes 25k
- Wisdom Quotes 25k
- Romance Quotes 24.5k
- Poetry Quotes 23.5k
- Life Lessons Quotes 23k
- Quotes Quotes 21k
- Death Quotes 20.5k
- Happiness Quotes 19k
- Hope Quotes 18.5k
- Faith Quotes 18.5k
- Inspiration Quotes 18k
- Spirituality Quotes 16k
- Relationships Quotes 16k
- Motivational Quotes 16k
- Religion Quotes 15.5k
- Life Quotes Quotes 15.5k
- Writing Quotes 15k
- Love Quotes Quotes 15k
- Success Quotes 14k
- Motivation Quotes 13.5k
- Time Quotes 13k
- Motivational Quotes Quotes 12k
- Science Quotes 12k