Kipaumbele Cha Kwanza Quotes

Quotes tagged as "kipaumbele-cha-kwanza" Showing 1-1 of 1
Enock Maregesi
“Hata kama umetajirika kiasi gani mpe Mungu kipaumbele cha kwanza katika kila jambo unalofanya. Toa zaka na sadaka na jitolee katika mambo yote yanayompendeza Mungu.”
Enock Maregesi