Kufanikiwa Quotes

Quotes tagged as "kufanikiwa" Showing 1-6 of 6
Enock Maregesi
“Kufanikiwa katika maisha lazima usimamiwe na nguvu za nuru au nguvu za giza. Kama ni nuru lazima ubobee katika nuru. Kama ni giza lazima ubobee katika giza.”
Enock Maregesi

Enock Maregesi
“Ukitaka kufanikiwa katika maisha angalia watu wanataka nini halafu wape. Kama wanataka burudani wape. Kama wanataka elimu wape. Kama wanataka bidhaa wape. Kama wanataka huduma wape. Wape kwa msaada wa wataalamu.”
Enock Maregesi

Enock Maregesi
“Wakati mwingine tukitaka kufanikiwa lazima tujifunze kutunza siri.”
Enock Maregesi

Enock Maregesi
“Kufanikiwa lazima umshinde Shetani.”
Enock Maregesi

Enock Maregesi
“Kufanikiwa lazima ushindikane.”
Enock Maregesi

Enock Maregesi
“Ukitaka kufanikiwa wasaidie wengine kufanikiwa.”
Enock Maregesi