,
Find & Share Quotes with Friends

Maneno Quotes

Quotes tagged as "maneno" Showing 1-2 of 2
Enock Maregesi
“Mwambie mtoto wako maneno mazuri anapokuwa ananyonya na kukuangalia machoni kwa kukukodolea. Maneno utakayomwambia ndiyo yatakayokuwa msingi wa mawazo yake, na ndiyo yatakayoumba maisha yake atakapokuwa mkubwa.”
― Enock Maregesi

Enock Maregesi
“Iwapo watu watakwenda nje ya kusudi la Mungu, hata wawe makini kiasi gani na injili, maneno yao hata yawe ya hekima kiasi gani hayatawasaidia chochote.”
― Enock Maregesi