,

Upumbavu Quotes

Quotes tagged as "upumbavu" Showing 1-1 of 1
Enock Maregesi
“Mtu anayejaribu kupambana na Mungu anajaribu kupambana na jambo lisilowezekana. Hatakuwa na uwezo wa kushinda. Kufanya hivyo ni upumbavu usioweza kuelezeka, lakini wanadamu hatukomi kufanya hivyo.”
Enock Maregesi