,

Waandishi Quotes

Quotes tagged as "waandishi" Showing 1-4 of 4
Enock Maregesi
“Kwa nini Biblia imejaa mafumbo? Biblia imejaa mafumbo kwa sababu akili za watu bado hazijakomaa kuupokea ukweli. Yesu na waandishi wote wa Biblia waliongea na kuandika kimafumbo, ili Neno la Mungu lijidhihirishe lenyewe kiroho katika mawazo ya mtu.”
Enock Maregesi

Enock Maregesi
“Soma vitabu visivyopendeza vilivyoandikwa na waandishi mahiri.”
Enock Maregesi

Enock Maregesi
“Waandishi ni wadadisi.”
Enock Maregesi

Enock Maregesi
“Waandishi wanapaswa kuwa wadadisi, kama paka, ijapokuwa udadisi ni hatari.”
Enock Maregesi